DK. ALI MOHAMED SHEIN ASHINDA UCHAGUZI ZANZIBAR. CUF WAKUBALI MATOKEO
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Bw. Khatib Mwinyichande akitangaza matokeo ya urais Zanzibar katika hoteli ya Bwawani mjini Unguja usiku huu Rais mteule wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akitoa shukrani baada ya kutangazwa mshindi Mgombea urais wa Chama cha Wananchi CUF Maalim Seif Shariff Hamad akikubali matokeo
CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA MOSCOW KINAPENDA KUMPONGEZA RAIS MTEULE WA AWAMU YA SABA DR. ALI MOHAMED SHEIN KWA USHINDI HUU MUHIMU.
No comments:
Post a Comment