CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Friday, June 4, 2010

SHEREHE ZA UVCCM TAWI LA MOSCOW MAY 2010. VIJANA WAKITUNUKIWA KADI ZA UVCCM PAMOJA NA VYETI VYA HESHIMA KATIKA PICHA

Kutoka Kulia ni Mwenyekiti wa UVCCM Tawi la Urusi Bw, Chrispine Bakunda akifuatiwa na Mwenyekiti wa CCM Tawi la Urusi Dr. Alifred Kamuzora, anayefuata ni Katibu wa CCM wa Tawi la Urusi Bi. Neema Kengese na wa kushoto ni Katibu Mwamasishaji wa UVCCM wa Tawi la UrusiWageni mbalimbali waalikwaNo comments: