CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Wednesday, November 24, 2010

MNUSO MOSCOW...

 KATIBU WA TAWI LA CCM MOSCOW ANAPENDA KUKUALIKA WEWE NA FAMILIA YAKO KATIKA SHEREHE KUBWA YA KUMPONGEZA MWENYEKITI WA CCM NA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH. DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA USHINDI MKUBWA ALIOUPATA KATIKA UCHAGUZI ULIOFANYIKA MWISHONI MWA NOVEMBA MWAKA HUU. 


SHEREHE HIYO  ITAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 27/11/2010 KUANZIA SAA 17:00 HADI MAJOGOO.


MAHALI: 33 PYATNITSKAYA ULITSA, 119017, MOSCOW RUSSIA
WOTE MNAKARIBISHWA

GOD BLESS CCM, GOD BLESS TANZANIANo comments: