CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Saturday, November 20, 2010

Mnuso Moscow Kumpongeza Mh. Jakaya Kikwete, Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wanachama wote wa CCM Tawi la Moscow Mnaarifiwa kuwa ule mnuso uliotakiwa ufanyike hii leo jumamosi tarehe 20/11/2010 umeahirishwa hadi wiki ijayo tarehe 27/11/2010 kutokana na sababu mbazo hazikuweza kuzuilika. mnaombwa radhi kwa usumbufu wowote...

No comments: