CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Sunday, June 12, 2011

Mkutano wa kamati ya Siasa ya Tawi

Mkutano wa kamati ya Siasa ya Tawi utafanyika tarehe 13/06/2011 cafe Simbad kuanzia saa tisa mchana. Tfadhali unaombwa kufika bila kukosa. Mada: uchaguzi wa viongozi wa CCM tawi na ule wa UVCCM tawi la MOSCOW. 

No comments: