CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Wednesday, June 1, 2011

MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM PAMOJA NA BARAZA LA VIJANA UVCCM TAWI LA MOSCOW


FOMU ZA KUGOMBEA UONGOZI BOFYA HAPA
MAJINA YA HALMASHAURI KUU NA BARAZA LA VIJANA BOFYA HAPA

TAFADHALI HUSIKANA MADA ILIYOTAJWA HAPO JUU,
CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA MOSCOW LINAOMBA KUKUJULISHA KUWA KUTAFANYIKA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM PAMOJA NA BARAZA LA VIJANA UVCCM TAWI LA MOSCOW.

SIKU: JUMAPILI TAREHE 05/06/2011
MAHALI: UKUMBI WA BL.6
MUDA: KUANZIA SAA 17:00 JIONI

MADA: UCHAGUZI WA VIONGOZI WA JUU WA CCM PAMOJA NA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA UVCCM.
UNAOMBWA KUHUDHURIA BILA KUKOSA NA KWA MUDA NA MAALI KAMA ILIVYOTAJWA HAPO JUU

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
KATIBU WA TAWI
BI. NEEMA KENGESE
NB. ANGALIA KIAMBATANISHO (ATTACHED FILE) ILI KUPATA MAJINA YA HALMASHAURI KUU YA CCM NA BARAZA LA VIJANA UVCCM

TANGAZO;
FOMU ZA KUGOMBEA UONGOZI WA CCM NA ULE WA UVCCM ZINAPATIKANA KWA;
1) BI NEEMA KENGESE
2) BW. SALIM MFUNGAHEMA
2) BW. BONIFACE ASSENGA
3) BW. MBAROUK MAHMUD
PIA UNAWEZA KUIPATA FOMU HIYO KATIKA UKURASA WETU http://ccmmoscow.blogspot.com/ AU KATIKA UKURASAWETU WA FACEBOOK http://www.facebook.com/ccmmoscow

NAFASI ZINAZOWANIWA NI
1) MWENYEKITI WA CCM TAWI
2) KATIBU WA TAWI
3) KATIBU WA ITIKATI,  SIASA NA UENEZI WA TAWI
4) KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA WA TAWI
5)  MWENYEKITI UVCCM
6) KATIBU UVCCM
7) KATIBU WA ITIKATI,  SIASA NA UENEZI WA UVCCM
8) KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA WA UVCCM


MWISHO WA KUCHUKUA NA KURUDISHA FOMU HIZO NI IJUMAA TAREHE 10 JUNE 2011

No comments: