Sunday, July 24, 2011
KAIMU KATIBU WA TAWI
TAWI LA CHAMA CHA MAPINDUZI MOSCOW RUSSIA LINAWATANGAZIA KUWA Bw. BAKUNDA CHRISPINE DOMISIO ATAKAIMU NAFASI YA KATIBU WA TAWI HADI HAPO ITAKAPOTANGAZWA VINGINEVYO. HII NI KUTOKANA NA KUSAFIRI KWA KATIBU WA TAWI Bw. BONIFACE ASSENGA. WOTE MNAOMBWA KUTOA USHIRIKIANO WENU WA DHATI ILI KUWEZA KUENDELEA IMANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
IMETOLEWA NA OFISI YA KATIBU WA TAWI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment