CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Thursday, November 14, 2013

KATIBU MKUU WA CCM Ndg. ABDULRAHMAN KINANA AWASILI MTWARA KATIKA MAANDALIZI YA KUANZA ZIARA YA SIKU 22 KATIKA MIKOA YA RUVUMA NA MBEYA

Jana Novemba 13, 2013 Katibu Mkuu wa CCM Mhe.Abdulrahman Kinana aliwasili mkoani Mtwara kwa ajili ya maandalizi ya kuanza ziara ya siku 22 katika mikoa ya Ruvuma na Mbeya.

Mhe. Kinana pia alitarajiwa kukutana na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilayani Masasi.

Mhe.Kinana akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM, mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara jana, tarari kwa safari ya kuelekea katika mikoa ya Ruvuma na Mbeya.


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Mhe.Nape Nnauye na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusian wa Kimataifa, Dkt. Asha-Rose Migiro, wakisalimiana na viongozi mbalimbali wa CCM mara baada ya kuwasili Mjini Mtwara jana.


Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Abdulrahman Kinana akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanali Joseph Simbakalia katika uwanja wa ndege wa Mtwara.


Mhe. Kinana akiwa na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Mtwara


No comments: