CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Tuesday, December 24, 2013

HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA


CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA CCM MOSCOW, TUNAWATAKIA HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA WATANZANIA WOTE POPOTE PALE WALIPO.

PIA TUNAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA WAKATI WOTE WA SIKUKUU AMBAPO TUNAUAGA MWAKA WA 2013 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2014. TUZIDI KUIDUMISHA AMANI TULIYOJAALIWA, UPENDO KWA NCHI YETU NA MSHIKAMANO MIONGONI MWETU.

MUNGU IBARIKI AFRIKA,
MUNGU IBARIKI TANZANIA.

No comments: