CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Monday, February 17, 2014

CCM KUBAKI NA MUUNDO WA SERIKALI MBILI NDANI YA MUUNGANO

Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi  Ndg. Nape Nnauye, jana Jumapili akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya Kikao cha NEC kumalizika, alisema kuwa NEC iliijadili vizuri Rasimu ya Katiba Mpya na kufikia maamuzi ya kuendelea kubaki na msimamo wake wa mapendekezo ya muundo wa Serikali mbili ndani ya Muungano. Pia aliongeza kuwa NEC imependekeza mambo kadhaa ili kuuboresha zaidi muundo huo.  

Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauye akiongea na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma mara baada ya kumalizika kwa Kikao cha NEC, jana Jumapili.

No comments: