CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Wednesday, April 14, 2010

Kikao cha halmashauri kuu ya CCM chaanza
Image
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kulia) na viongozi waandamizi wa Kamati Kuu ya CCM wakisimama kwa dakika moja kumkumbuka hayati Mzee Rashid Kawawa muda mfupi kabla ya kuanza kikao cha kamati hiyo mjini Dodoma jana asubuhi. Kutoka kushoto Rais mstaafu Benjamin Mkapa, Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais Amani Abeid Karume, Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba na Makamu mwenyekiti wa CCM Bara, Pius Msekwa

No comments: