CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Wednesday, April 14, 2010

Mawaziri wakuu wastaafu ndani ya NEC.Image
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao pia ni mawaziri wakuu wastaafu, kutoka kushoto, Cleopa Msuya, Frederick Sumaye, na Edward Lowassa wakiteta wakati wa kikao cha halmashauri hiyo mjini Dodoma.

No comments: