CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Wednesday, April 14, 2010

Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe. Mustafa H. akiwa na baadhi watanzania waishio Moscow Russia katika kumbi za ubalozi wa TanzaniaWaziri Mustafa (katikati waliokaa) akiwa na baadhi ya Watanzania waishio na wanaosoma vyuo vikuu mbalimbali Russia waliofurika kumlaki katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Balozi wa Tanzania Moscow Capt. mstaafu Balozi Jaka Mwambi.. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Urusi na kushoto ni Mke wa Balozi wa Tanzania Urusi

Waziri Mustafa akijipatia chakula cha jioni mara baada ya Mkutano na watanzania waishio Urusi pamoja na wanafunzi wanaosoma vyuo vikuu mbalimbali nchini Urusi. anayehudumia ni Proscovia Mwambi.

Waziri Mustafa akijipatia chakula cha jioni mara baada ya Mkutano na watanzania waishio Urusi pamoja na wanafunzi wanaosoma vyuo vikuu mbalimbali nchini Urusi

Waziri Mustafa akipozi na watanzania mbalimbali waliokuwepo mahali hapo. Kushoto ni Livingston Swila, Katibu wa siasa na Uenezi wa CCM Tawi la Moscow. Kutoka Kulia ni Katibu wa WAZAZI CCM tawi la Moscow Bi. Joyce Kimaro. Anayefuata ni Boniface Assenga Katibu wa Uchumi na Fedha CCM tawi la Moscow. anayefuata ni Warda akifuatiwa na Deodatus Kato.

Waziri Mustafa akijibu swali kutoka kwa Watanzia waliofurika kumlaki katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Balozi wa Tanzania Moscow Capt. mstaafu Balozi Jaka Mwambi.

No comments: