CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Wednesday, April 14, 2010

URUSI NA MATAIFA YA CIS YAMWOMBOLEZEA SIMBA WA VITA HAYATI MZEE RASHIDI KAWAWA



Picha za Utiaji saini wa kitabu cha maombolezo kufuatia msiba wa Simba wa Vita Mzee Rashidi Mfaume Kawawa katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Urusi.


.
Hayati Mzee Rashidi Mfaume Kawawa. (May 27, 1926 – December 31, 2009) was the Prime Minister of Tanganyika in 1962 and of Tanzania in 1972-77. Succeeded by Edward Moringe Sokoine (ruled 13 February 1977 to 7 November 1980 and again from 24 February 1983 to 12 April 1984). Kawawa was the effective ruler of the country as a President from January to December 1972 while Julius Nyerere toured the countryside. Kawawa was a strong advocate of economic statism. After his retirement, Kawawa remained a behind-the-scenes influence in Tanzanian politics. Kawawa died on 31 December 2009 in Dar es Salaam at the age of 83)


BALOZI WA ALGERIA NCHINI URUSI H.E. CHERGUI SMAIL AKITOA HESHIMA ZAKE MBELE YA PICHA YA HAYATI MZEE RASHIDI MFAUME KAWAWA. BALOZI SMAIL AMEMWELEA MZEE KAWAWA KUWA NI MFANO WA KUIGWA KATIKA SIASA ZA AFRIKA


BALOZI WA ALGERIA NCHINI URUSI H.E. CHERGUI SMAIL AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO




MINISTA KANSELA THABO MAFOKO WA UBALOZI WA AFRIKA YA KUSINI NCHINI URUSI AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO. MH. MAFOKO AMEMTAJA MZEE KAWAWA KAMA MMOJA WAPO WA VINARA WA UHURU WA AFRIKA KUSINI NA MZEE WA VITA VYA UBAGUZI WA RANGI.




BALOZI WA KAMERUNI NCHINI URUSI H.E. MAHAMAT PABA SALE AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO. BALOZI PABA SALE AMEMTAJA MZEE KAWAWA KUWA KIJANA ASIYEZEEKA, MWENYE NGUVU, NA SHUPAVU.

MMILIKI WA KAMPUNI YA MOYO AFRICA EXPLORATION BW. ALEX PLYASKIN AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO. MMILIKI HUYO AMBAYE NI MRUSI ANAYEENDESHA KAMPUNI YAKE TANZANIA AMEMTAJA MZEE KAWAWA KUWA MLINDA MALI ASILI, JASIRI NA MWENYE KULINDA HESHIMA YA BARA LA AFRIKA


BALOZI WA BURUNDI NCHINI URUSI H.E. ISIDORE NIBIZI AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO. BALOZI NIBIZI AMEMTAJA MZEE KAWAWA KUWA MTU MAKINI, KIONGOZI HODARI NA MCHAPAKAZI


BALOZI WA ZAMBIA NCHINI URUSI H.E. DR. PETER L. CHINTALA AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO. DR. CHINTALA AMESEMA KUWA MZEE KAWAWA NI MHIMIZAJI MKUBWA WA SIASA YA UJAMAA UMOJA NA KUJITEGEMEA.





BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI URUSI H.E. PHELEKEZELA MPHOKO AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO. BALOZI MPHOKO NI MMOJA WA MABALOZI WA KIAFRIKA NCHINI URUSI AMBAO WALITOA HOTUBA MUHIMU KATIKA SIKU YA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE MWAKA 2009. KUMBUKUMBU HIZO ZILIFANYIKA KATIKA INSTITUTE OF AFRICA KIICHOPO NCHINI URUSI.





BALOZI WA SENEGALI NCHINI URUSI H.E. MAJ. GEN. MOUNTAGA DIALLO AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO.


BALOZI WA NAMIBIA H.E. DR. SAM K. MBAMBO AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO.


MWAMBATA WA KIJESHI WA TANZANIA NCHINI URUSI BRIGEDIA JENERALI M.M. KILLO AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO


MMILIKI WA THE THOMCOM NAYE ALIKUWEPO KATIKA KUTIA SAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO, KUMUENZI MZEE RASHIDI KAWAWA

No comments: