CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Saturday, May 14, 2011

UWT TAwi la Moscow wafanya uchaguzi wao

Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la Moscow leo tarehe 14/05/2011 umefanya uchaguzi wake na viongozi wake wapya kupatikana.

  1. Mwenyekiti ni Bi Rehema O. Simba aliyepita bila mpinzani kwa ushindi wa asilimia 100
  2. Katibu ni Bi. Proscovia Mwambi aliyepata ushindi wa asilimia 87.5
  3. Katibu wa Fedha ni Bi Ezelina Mwaifunga aliyemshinda mpinzani wake na kupata asilimia 75

No comments: