CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Sunday, February 9, 2014

HERI YA KUZALIWA KATIBU WA UVCCM - MOSCOW Ndg. MASHANGO H. MASHANGO

Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la CCM - Moscow nchini Urusi  , kwa furaha kubwa unapenda kumpongeza na pia kumtakia heri ya kuzaliwa Katibu wa UVCCM ambaye pia ni Kaimu Mwenyekiti wa UVCCM  - Tawi la Moscow , Ndugu Mashango H. Mashango.

Katibu wa UVCCM na Kaimu Mwenyekiti wa UVCCM tawi la Moscow, Urusi, Ndg. Mashango H. Mashango.
Kwa niaba ya wanachama wote wa CCM katika Tawi la Moscow, Uongozi unamtakia mafanikio katika shughuli zake na pia katika utendaji ndani ya chama.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI !!!

No comments: