CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Monday, February 10, 2014

MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATIKA KATA MBALIMBALI ULIOFANYIKA TAREHE 9 FEBRUARI 2014

Katika uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika tarehe 9 Februari katika kata 27, CCM chashinda katika kata 23  , huku CHADEMA kikishinda katika kata 3 na NCCR-Mageuzi kikishinda katika kata 1.

Matokeo katika kata hizo ni kama ifuatavyo:

KATAMKOA/WILAYACHAMA
UbwageShinyangaCCM
NamikageLindiCCM
KiboroloniKilimanjaroCHADEMA
KiomoniTangaCCM
IbumuIringaCCM
MtaeTangaCCM
PartimboArushaCCM
MkwitiMtwaraCCM
NduliIringaCCM
Njombe MjiniNjombeCHADEMA
NyasuraMaraCCM
TungiMorogoroCCM
MrijoDodomaCCM
MalindoMbeyaCCM
SantillyaMbeyaCCM
KiwalalaLindiCCM
SombetiniArushaCHADEMA
LudewaMorogoroCCM
MagomeniBagamoyoCCM
KibinduBagamoyoCCM
KilelemaKigomaNCCR-Mageuzi
SegelaChamwinoCCM
MpwayunguDodomaCCM
UkumbiKiloloCCM
MkongoloKigomaCCM
LooleraKitetoCCM
KasangaKalamboCCM


No comments: