Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Abdulrahman Kinana akizungumzia mchakato wa Katiba Mpya na Bunge la Katiba.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe akizungumzia mchakato wa Katiba Mpya na Bunge la Katiba.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mhe. Dkt. Wilbroad Slaa akizungumzia mchakato wa Katiba na Bunge la Katiba.
Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI , Mhe. James Mbatia akizungumzia mchakato wa Katiba Mpya pamoja na Bunge la Katiba.
No comments:
Post a Comment