CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Wednesday, February 12, 2014

KONGAMANO LA TAFAKURI NA MARIDHIANO KUELEKEA KATIBA MPYA

Leo February 12, 2014, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Ghalib Bilal alifungua Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea katiba mpya. Kongamano hilo ambalo limeandaliwa na Tanzania Center for Democracy (TCD), limefanyika kwenye Hoteli ya White Sands ,jijini Dar-es-Salaam na kushirikisha viongozi mbalimbali wa Serikali, Bunge na Vyama vya Siasa, viongozi wa Dini  na Asasi za kiraia, baadhi ya wabunge wapya wa bunge la katiba, na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisoma hotuba yake wakati alipokuwa akifungua rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba Mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar-es-Salaam leo.

Meza Kuu.

Baadhi ya washiriki wa kongamano hilo.

Washiriki wa Kongamano hilo wakiwa katika picha ya pamoja.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa CHADEMA , Mhe. Freeman Mbowe baada ya Kongamano kumalizika.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal akiagana na Mwenyekiti wa CHADEMA , Mhe. Freeman Mbowe baada ya Kongamano kumalizika.

Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Ghalib Bilal pamoja na Waziri Mkuu Mhe, Peter Mizengo Pinda wakiagana na Viongozi mbalimbali walioshiriki katika Kongamano hilo.

MAELEZO YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA KATIKA MKUTANO WA TANZANIA CENTER FOR DEMOCRACY, KUHUSU TAFAKURI NA MARIDHIANO KUELEKEA KATIBA


No comments: