CHAMA CHA MAPINDUZI
UMOJA NI USHINDI, AMANI NA MAENDELEO ...!!!

Saturday, February 15, 2014

RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM (ZANZIBAR), Dr.SHEIN ALIPOWASILI MJINI DODOMA LEO KWA AJILI YA KUHUDHURIA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM, KINACHOFANYIKA LEO MJINI DODOMA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na Makamu Mwenyekiti wa CCM(Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi muda mfupi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo.

Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dkt. Shein akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea alipowasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo. 

Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein akiimba wimbo wa Chama cha Mapinduzi pamoja na vijana wa CCM mara baada ya kuwasili Dodoma.

Vijana wa CCM wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) , Dkt. Ali Mohamed Shein alipowasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma.

No comments: